5 months ago   01:14

Share

Comments 0 Comments

Add Reply

5 months ago   03:05

Share
Mtazamaji,hebu tafakari maisha ya jela yalivyo magumu....ushaivuta picha? Kisha basi....tafakari matatizo yanayoweza kumkumba kizere au ajuza anapokuwa gerezani. Margaret ngima, nyanya wa umri wa miaka 100 mtazamaji...naam 100 amejipata amefungwa jela na mahakama ya embu. Nyanya ngima aliyefungwa kwa kosa la kukiuka maagizo ya mahakama. Ajuza huyo hana uwezo wa kujisaidia kuoga wala kufua nguo zake anapotumikia kifungo cha miezi 3 jela. Sasa familia yake imeiomba serikali kumwachilia huru. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya