Makundi ya uhalifu Murang'a Kijakazi Aliyemuambukiza Ugonjwa Wa Zinaa 1 day ago   01:45

Share
Kenya CitizenTV
Baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya Murang’a wamekana madai kuwa kuna vikundi haramu vinavyohudumu katika kaunti hiyo.


Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Comments 0 Comments

Add Reply

Kijakazi Aliyemuambukiza Ugonjwa Wa Zinaa Makundi ya uhalifu Murang'a 1 day ago   02:40

Share
Kijakazi Aliyemuambukiza Ugonjwa Wa Zinaa Mvulana Wa Miaka 7 Na Kutoroka Akamatwa, Juja
Huenda sasa wazazi wakalazimika kuimarisha usalama wa watoto wao hasa wa kiume katika nyumba zao. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa visa vya wafanyikazi kuwadhulumu watoto kumapenzi na kisa cha hivi punde ni mjakazi mmoja wa kike aliyemdhulumu mtoto wa miaka saba na kumuambukiza ugonjwa wa zinaa, katika eneo la Juja kaunti ya Kiambu Nancy Onyancha anatuarifu zaidi kuhusu kisa hicho cha kijakazi huyo ambaye sasa ametiwa mbaroni