5 months ago   01:01

Share

Comments 0 Comments

Add Reply

5 months ago   04:01

Share
Wanafuzi wanaozaliwa na changamoto za kimaumbile katika sehemu za mashinani mara nyingi hufichwa na wazazi wao kwa kuwa wao huchukuliwa

kama watoto waliolaaniwa na wengi hutelekezwa na hivyo hawapelekwi hata shuleKatika shule ya msingi ya mseto ya Lodwar kuna darasa la wanafaunzi walio na changamoto tofauti wengine vipofu na wengine ni viziwi lakini cha kutia moyo ni kwamba licha ya changamoto hizo vipawa vyao vinakuzwa hapa.


Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya