Wakulima Nandi wanatakiwa kutafuta Mtoto 'Aliyezikwa' Siku 4 Aokolewa 1 day ago   02:24

Share
Kenya CitizenTV
Wakulima katika kaunti ya Nandi wanatakiwa kutafuta mimea mbadala ili kunufaika na kilimo. Hii ni kufuatia changamoto zilizowakumba wakulima wa mahindi kutoka eneo hilo.Wakulima hao wa mahindi sasa watapanda parachichi, kahawa, ndizi na chai Iko kuongeza mapato zaidi kwa mimea tofautitofauti.


Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Comments 0 Comments

Add Reply

Mtoto 'Aliyezikwa' Siku 4 Aokolewa Wakulima Nandi wanatakiwa kutafuta 1 day ago   02:40

Share
Wakazi wa eneo la Sirende kaunti ya Transnzoia walipigwa na mshangao baada ya mtoto wa miaka minne kuzikwa katika shimo la urefu wa futi nne katikati ya shamba la mahindi. Mtoto huyo kwa jina Oscar Ochieng' ambaye alitekwa nyara na mama jirani akiwa anacheza na wenzake na kupatikana akiwa hai ndani ya shimo hilo.