Wakazi zaidi ya 60,000 kupewa Mwanamume aliyepoteza mguu ajalini 2 days ago   00:36

Share
Kenya CitizenTV
Serikali inasema kuwa zaidi ya wakaazi elfu sitini katika kaunti ya Isiolo watapata vyeti vyao vya umiliki wa ardhi kufikia mwisho wa mwaka ujao.


Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Comments 0 Comments

Add Reply

Mwanamume aliyepoteza mguu ajalini Wakazi zaidi ya 60,000 kupewa 2 days ago   03:59

Share
Watu ambao hupitia changamoto tele maishani aghalabu hujitenga na wengine katika jamii haswa familia zao na marafiki na kusalia na upweke.
Na hivyo ndivyo hali ilivyo kwa Samason Mihendu Waithaka aliyepoteza mguu wake katika ajali mbaya ya barabarani iliyompelekea kukata tamaa maishani.
Mwanahabari wetu Shukri Wachu alikutana na Waithaka, mkaazi wa mtaa wa Kariobangi South hapa jijini Nairobi ambaye anafanya kazi katika makao ya watoto pamoja na mkewe.