Mtoro wa jela Malindi afungwa Kutana Na Mfungwa Mzungu Ambaye 5 months ago   00:45

Share
Kenya CitizenTV
Mfungwa aliyetoroka jela la Malindi kaunti ya Kilifi amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani. Mfungwa huyo Jire Katembe Jira alikuwa akitumikia kifungo cha miezi sita gerezani baada ya kushtakiwa na kosa la kuiba gunia la mahindi la thamani ya shilingi elfu mbili.


Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Comments 0 Comments

Add Reply

Kutana Na Mfungwa Mzungu Ambaye Mtoro wa jela Malindi afungwa 5 months ago   02:22

Share
Huenda umetembea gerezani, na kati ya mamia ya wafungwa walio huko ndani, utawapata wachache mno, ambao si wazaliwa wa Kenya. Lakini ukweli ni kwamba hakukosi wachache, na kando na kuwa wao ni wafungwa, ni wafungwa ambao wana bidii kusiadia mawili matatu kwenye gereza. Kutana naye Mosser Joakim, jamaa kutoka ulaya, ambaye ni mfungwa nchini, na kando na hilo ni mhandisi kitaaluma. Yeye licha ya kutumikia kifungo cha miaka 24, amejipa kazi ya uhandisi kwenye gereza, na hapa ni mahala anapopaita nyumbani sasa.